iqna

IQNA

13 aban
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa na kusema kuwa, Aban 13 (Novemba 4) ambayo ni siku ya kupambana na ubeberu nchini Iran, bila ya shaka yoyote imebadilisha kabisa mlingano wa nguvu kieneo na kimataifa.
Habari ID: 3474517    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05